KI-Beratung Beta

  • Produktbild: Historia ya Kiziba na Wafalme Wake
  • Produktbild: Historia ya Kiziba na Wafalme Wake

Historia ya Kiziba na Wafalme Wake Tafsiri ya Amakuru Ga Kiziba na Abamkama Bamu

69,99 €

inkl. gesetzl. MwSt., Versandkostenfrei


Beschreibung

Historia ya Kiziba na Wafalme Wake: Tafsiri ya Amakuru Ga Kiziba na Abakama Bamu ni mchango mkubwa kwa fasihi ya kihistoria ya wenyeji wa Afrika ya Mashariki na Tanzania. Utafiti wa Mfalme Mutahangarwa wa Kiziba (aliyetawala 1903–1916) katika mwanzo wa karne ya ishirini ulikusanya mabingwa wa simulizi...

Beschreibung

Historia ya Kiziba na Wafalme Wake: Tafsiri ya Amakuru Ga Kiziba na Abakama Bamu ni mchango mkubwa kwa fasihi ya kihistoria ya wenyeji wa Afrika ya Mashariki na Tanzania. Utafiti wa Mfalme Mutahangarwa wa Kiziba (aliyetawala 1903–1916) katika mwanzo wa karne ya ishirini ulikusanya mabingwa wa simulizi za mdomo kutoka katika koo za kifalme na zisizo za kifalme na shuhuda zao ziliandikwa na watu waliokwisha kujua kusoma na kuandika, akiwemo F.X. Lwamgira. Miongo mine baadaye matokeo ya utafiti huo yalipigwachapa kikatokea kitabu chenye kurasa 490 katika lugha ya Kihaya ambach kilibaki bila kujulikana ingawa kilikuwa kitabu muhimu. Tafsiri hii muhimu itafanya historia ya Kaskazini Magharibi mwa Tanzania na Kusini Magharibi mwa Uganda kabla na mwanzoni mwa ukoloni iwafikie kwa mara ya kwanza wasomi wengi.

Produktdetails

Einband

Taschenbuch

Erscheinungsdatum

03.06.2020

Herausgeber Peter R. Schmidt
Verlag Mkuki na Nyota Publishers

Produktdetails

Einband

Taschenbuch

Erscheinungsdatum

03.06.2020

Herausgeber Peter R. Schmidt
Verlag Mkuki na Nyota Publishers
Seitenzahl

476

Maße (L/B/H)

22,9/15,2/2,6 cm

Gewicht

683 g

Sprache

Swahili

ISBN

978-9987-08-369-5

Herstelleradresse

Libri GmbH
Europaallee 1
36244 Bad Hersfeld
DE

Email: gpsr@libri.de

Noch keine Bewertungen vorhanden

Verfassen Sie die erste Bewertung zu diesem Artikel

Helfen Sie anderen Kundinnen und Kunden durch Ihre Meinung.

Kundinnen und Kunden meinen

Bewertungen (0)

  • Produktbild: Historia ya Kiziba na Wafalme Wake
  • Produktbild: Historia ya Kiziba na Wafalme Wake